Mimi sio mtumiaji na mfuatiliaji wa media za kibongo sababu zinachosha na kukera. Kuna baadhi ya vipindi vichache huwa najaribu kuvusikiliza. Radio one mnanikera kila baada ya mda kurushia nukuu za sa100. Ukweli huwa nalazimika kubadilisha station, "na hili mkalitizame"