[emoji16]Mimi sio mtumiaji na mfuatiliaji wa media za kibongo sababu zinachosha na kukera. Kuna baadhi ya vipindi vichache huwa najaribu kuvusikiliza. Radio one mnanikera kila baada ya mda kurushia nukuu za sa100. Ukweli huwa nalazimika kubadilisha station, "na hili mkalitizame"
kama kuna moja anaongea na mabalozi wa njee..ilinivutia sana si utaniNi nukuu nzuri sana
Nukuu zenyewe za hovyoMimi sio mtumiaji na mfuatiliaji wa media za kibongo sababu zinachosha na kukera. Kuna baadhi ya vipindi vichache huwa najaribu kuvusikiliza. Radio one mnanikera kila baada ya mda kurushia nukuu za sa100. Ukweli huwa nalazimika kubadilisha station, "na hili mkalitizame"
Chawa wa wapiNi nukuu nzuri sana
Siyo radio peke yake. Ippmedia kwa ujula inapumulia mashine, ni suala la muda tu mbao zitagawanywa.Wanatafuta Matangazo, ile radio ipo hoi sana.
Hata mimi ndicho kilikuwa kipindi changu pendwa, nilikuwa najitahidi ku mute mara kwa mara ila sasa nasikiliza Abood fm jumapili na ufm wanavyo vipindi kama hivyo alhamisi na jumamosiRedio one nilikuwa nasikililiza kipindi cha ijumaa vibao vya zamani ila niliacha kutokana na kusikilizishwa kitu nisichokipenda km hicho