WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,017 Apr 16, 2017 #1 Kuna tatizo la kimitambo katika hizi redio mbili. Huwa napenda kusikiliza vipindi hasa MAZUNGUMZO YA FAMILIA radio one. Ila leo naona hawasikiki huku mara. Nimejaribu online pia siwapati. Tafadhali shughulikieni mitambo yenu!
Kuna tatizo la kimitambo katika hizi redio mbili. Huwa napenda kusikiliza vipindi hasa MAZUNGUMZO YA FAMILIA radio one. Ila leo naona hawasikiki huku mara. Nimejaribu online pia siwapati. Tafadhali shughulikieni mitambo yenu!