Radio One Sisi Watu wa Mkoani Morogoro tumewakoseeni nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hivi hamjui kuwa Mimi ni Balozi wenu Kivuli wa Kujiteua Mwenyewe?

Kwanini kwa hizi Siku Mbili Tatu hampatikani kabisa hapa Mkoani Morogoro?

Mnanilazimisha nisikilize Redio ( FM ) mbaya, mbovu na zisizo na Mvuto na Ushawishi Kwangu za hapa Mkoani Morogoro kama za Plannet FM na Abood FM.

Ina maana Radio One ( hasa Wewe Boss Wao na Mtani wangu wa Kihaya Deogratius Rweyunga ) hujui na hamjui kuwa hampatikani hapa Mkoani Morogoro?

Haya Boss Rweyu ( Mtani Wangu ) nakupa hadi Saa 2 Kamili Asubuhi ya Leo naomba muwe mnapatikana Hewani hapa Mkoani Morogoro vinginevyo nakurudisha Kwenu Muleba na Biharamuro ukawinde Senene.

Hakuna Radio niipendayo kama Radio One kwa hapa nchini Tanzania na sijaona wa Kushindana nayo.

Kama GENTAMYCINE anasikiliza na anaipenda Radio One Wewe ni nani usiisikilize na usiipende?

Mtani wangu Boss Rweyu fanyia Kazi.
 
Asante kwa taarifa msikilizaji wetu adhimu, tunaomba radhi kwa hilo, mafundi wetu wanashughulikia, kwa sasa endelea kusikiliza matangazo yeta kwa njia ya mtandao @radio_one_tz

Back
Top Bottom