Radio One Stereo, tazizo la taarifa zenu za habari ni mwandishi au ni msomaji?

Radio One Stereo, tazizo la taarifa zenu za habari ni mwandishi au ni msomaji?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Hali ya usomaji wa taarifa zenu za habari hazifanani na sifa mnayojipa, usomaji wenu vituo havieleweki kiasi cha msomaji kuishiwa pumzi.

Taarifa husomwa kimperampera yaani dakika sita mmemaliza wimbo!

Rekebisheni usomaji ili zivutie zionekane zimeandikwa na watu waliosomea uandishi wa habari na si sisi wa mitaani.
 
Sikiloza redio uhuru na tbc + channel 10 utapike kabisa.
 
Hao hata uwape ushauri namna gani, hawakuelewi. Mfano, ITV, wamelalamikiwa kubalance sauti hasa kwenye taarifa ya habari, lazima ukae na remote kubalance sauti. Nemekata tamaa kusikiliza taarifa yao ya saa mbili usiku.
 
Super Brand kote ITV & Redio one sasa wapo juu ya mawe!, R.I.P mzee Mengi.
 
Watu wanaamini hiyo habari umeishaiona tangu mchana kupitia Social media 😜😜😜
 
Back
Top Bottom