Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Iyo stereo nikajua soko la matunda yaani alikuwa sterioSio radio tu
Radio one stereo π
Soko la stereo liko wapi?Iyo stereo nikajua soko la matunda yaani alikuwa sterio
Lipo temeke nasikia ndio soko kuu la matundaSoko la stereo liko wapi?
Temeke karibu na Hospitali na bank ya CRDBSoko la stereo liko wapi?
Watu wanaamini hiyo habari umeishaiona tangu mchana kupitia Social media πππ
Temeke karibu na Hospitali na bank ya CRDB
Lipo temeke nasikia ndio soko kuu la matunda
Lini nikutembezeOooh,sijawahi kulisikia kabla
Weekend inayokujaLini nikutembeze
Sawa inabidi tutoke alfaji sana sawa πWeekend inayokuja