Radio ya gari (Android radio), brand gani ni bora?

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Wakuu, salaam

Kwa wataalaamu na wajuvi wa android radio za magari, ni brand gani ambayo ni the best in terms of durability and display quality?

N.B: Exclude Chinese brands! Hizi zinalalamikiwa kuharibika mapema sana.

Gari ni Toyota ist (old model).

9387bdf0-2740-4017-8e19-facc377c59ab.jpg
 
Wakuu, salaam

Kwa wataalaamu na wajuvi wa android radio za magari, ni brand gani ambayo ni the best in terms of durability and display quality?

N.B: exclude Chinese brands! Hizi zinalalamikiwa kuharibika mapema sana.

Gari ni Toyota ist (old model).

View attachment 2285743
Get one from Sony, Kenwood or pioneer. Hizo ni mkataba
 
Wakuu, salaam

Kwa wataalaamu na wajuvi wa android radio za magari, ni brand gani ambayo ni the best in terms of durability and display quality?

N.B: exclude Chinese brands! Hizi zinalalamikiwa kuharibika mapema sana.

Gari ni Toyota ist (old model).

View attachment 2285743
Kuna chinese brand nzuri tu, durable na bei affordable lkn kama unapendelea jina la brand basi tafuta Sony, Kenwood au pioneer japo kwa hizo brand bei inaanzia laki nane hadi 1.2M kwa android version
 
Duh bei zaqo kaliii
 
mkuu kali linux , ni brand zipi hizo za kichina ambazo ni durable? na bei zake zipoje
 
Ist inafunga inches ngapi ANDROID UNIT? ya pioneer ina bei gani kwa sasa?
 
Android head unit za kichina, brand ipi ni bora na imara? (chinese brands)
 
Kuna chinese brand nzuri tu, durable na bei affordable lkn kama unapendelea jina la brand basi tafuta Sony, Kenwood au pioneer japo kwa hizo brand bei inaanzia laki nane hadi 1.2M kwa android version

Brand ipi ya kichina unarecommend? nahitaji android version (10 inches) for toyota ist.
kali linux
 
Wateja wangu wengi nawafungia hii hapa

-4410035441865284616.jpg
-18303196101432945064.jpg
-329566057-1477257603.jpg
-4410035441865284616.jpg
6276170111456267911.jpg

Zinaitwa Cartaotao
 
Attachments

  • 2079017814523003356.jpg
    2079017814523003356.jpg
    98.6 KB · Views: 31
  • 2146163466-471373168.jpg
    2146163466-471373168.jpg
    73.6 KB · Views: 30
Huu uzi ulikosa majibu
Nmekujibu hapo juu,

Japo Kenwood na sony bado zinasifiwa ila ukiangalia kwenye magari mengi hasa hasa haya ya kati utakuta unit ilofungwa ni hio ya kichina nlokupostia hapo juu, na ndio best selling alternative kwa sasa.
 
Hao giant brands (Kenwood, Sony, Pioneer, Alpine, etc) kiukweli Wana ubora sana, kuanzia uimara na ubora wa picha na ubora wa sound. Tatizo lao ni kwenye bei tu, too expensive!

Waswahili wanasema "buy poor, buy twice"... ila kulingana na uchumi ulivyobana, Chinese brands ndiyo kimbilio letu wengi. Naona hata wazungu wenyewe wanafunga hizo Chinese brands, na kuhusu ubora wanasema ziko poa tu.

Hiyo CARTAOTAO android inchi 10 naipata Kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom