Get one from Sony, Kenwood or pioneer. Hizo ni mkatabaWakuu, salaam
Kwa wataalaamu na wajuvi wa android radio za magari, ni brand gani ambayo ni the best in terms of durability and display quality?
N.B: exclude Chinese brands! Hizi zinalalamikiwa kuharibika mapema sana.
Gari ni Toyota ist (old model).
View attachment 2285743
Kuna chinese brand nzuri tu, durable na bei affordable lkn kama unapendelea jina la brand basi tafuta Sony, Kenwood au pioneer japo kwa hizo brand bei inaanzia laki nane hadi 1.2M kwa android versionWakuu, salaam
Kwa wataalaamu na wajuvi wa android radio za magari, ni brand gani ambayo ni the best in terms of durability and display quality?
N.B: exclude Chinese brands! Hizi zinalalamikiwa kuharibika mapema sana.
Gari ni Toyota ist (old model).
View attachment 2285743
Duh bei zaqo kaliiiKuna chinese brand nzuri tu, durable na bei affordable lkn kama unapendelea jina la brand basi tafuta Sony, Kenwood au pioneer japo kwa hizo brand bei inaanzia laki nane hadi 1.2M kwa android version
Kuna chinese brand nzuri tu, durable na bei affordable lkn kama unapendelea jina la brand basi tafuta Sony, Kenwood au pioneer japo kwa hizo brand bei inaanzia laki nane hadi 1.2M kwa android version
Kuna chinese brand nzuri tu, durable na bei affordable lkn kama unapendelea jina la brand basi tafuta Sony, Kenwood au pioneer japo kwa hizo brand bei inaanzia laki nane hadi 1.2M kwa android version
Brand ipi ya kichina unarecommend? nahitaji android version (10 inches) for toyota ist.
kali linux
Nmekujibu hapo juu,Huu uzi ulikosa majibu
Brand: 'CARTAOTAO'... thanks mkuu kwa reply yako. Kuna brand nyingine ya kichina yaitwa 'JOYING'... nimeona nayo pia Ina reviews nzuri mitandaoni from users.View attachment 2528098
View attachment 2528099
Ina kila kitu unachotaka ikiwemo SWC functions, obd 2, hata ukitaka kuongeza camera zile za reverse na TPMS inakubali
Nmekujibu hapo juu,
Japo Kenwood na sony bado zinasifiwa ila ukiangalia kwenye magari mengi hasa hasa haya ya kati utakuta unit ilofungwa ni hio ya kichina nlokupostia hapo juu, na ndio best selling alternative kwa sasa.