Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa napenda kukaa mbele wakati wa ibada. Maneno yafuatayo ni ya kawaida sana: "waongo wote sehemu yao ni lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti"Nao wanahitaji pesa kuendesha kituo chao
Fuatilia pesa wanayotakiwa kulipa kila serikalini halafu uje utupe mrejesho. Bila matangazo ya biashara hawataweza kujiendesha na kulipa mishaharaKwanini redio hizi nazo zinahusika kwenye Matangazo haya ambayo mengi ni ya uongo-uongo?
Mfano:"Aaa! jirani unahangaika bure, dawa ni moja tu!(anaitaja) zingine zote fake!
Maandiko yanasema waongo wote sehemu yao ni ziwa la moto linalochemka kama mafuta ya kukaangia maandazi!!Fuatilia pesa wanayotakiwa kulipa kila serikalini halafu uje utupe mrejesho. Bila matangazo ya biashara hawataweza kujiendesha na kulipa mishahara
Taja Redio mojawapo ?Kwanini redio hizi nazo zinahusika kwenye Matangazo haya ambayo mengi ni ya uongo-uongo?
Mfano:"Aaa! jirani unahangaika bure, dawa ni moja tu!(anaitaja) zingine zote fake!