Zipo approved na mamlaka husika, TCRA. Huna haja ya kupata frequency, sababu zinatumia networks za Cellular operators.Hili ni Tangazo, Taarifa auni nini? Hebu eleweka. Ziko wapi na kwa bei gani? Vibali vyake vikoje? Weka nyama hii thread
Kwa hiyo unazonunua kama simu kawaida?Zipo approved na mamlaka husika, TCRA. Huna haja ya kupata frequency, sababu zinatumia networks za Cellular operators.
Hizi lazima ziwe rahisi kuingiliwa mawasiliano yakeFaida ya hizi Radiocalls :
1.Hakuna haja kuwekeza kwenye Towers /Minara, Antennas,Base stations, Repeaters. Hivyo Initial investments ni Zero.
2.Hakuna limitation ya umbali /Coverage sababu zinatumia network za kampuni za simu. Unaweza kuwasiliana toka mkoa hadi mkoa.
3.Matumizi ya data kwa mwezi ni kidogo sana. Chini ya 300Mb kwa mwezi.
4.Bei zake ni rahisi sana.
5.Zinaweza tumiwa na makampuni ya ulinzi, polisi wa barabarani, vituo vya polisi.,Magodauni, Magari yanayosafiri umbali mrefu.
Tayari nimewekaHabari bila picha ni wali bila maharage
Contact :mwiruge43@gmail.comHili ni Tangazo, Taarifa auni nini? Hebu eleweka. Ziko wapi na kwa bei gani? Vibali vyake vikoje? Weka nyama hii thread
Picha umeziweka wapi
Nitumie email nikutumie picha. Hapa file limegoma kuUpload.Picha umeziweka wapi
Nimetumia network ya Halotel inapatikana maeneo mengi sana remote areas/vijijini ndani kabisa . Kwa wateja wa hizi Radiocalls Tafadhali nicheki kwenye simu.Sehemu ambayo hamna coverage ya mobile network?
Issue ya interference inakuwaje? Maana kama inatumia availabble infrastructure maana yake pia inatumia same frequency (co-channel)
Kwa mawasiliano zaidi :Hili ni Tangazo, Taarifa auni nini? Hebu eleweka. Ziko wapi na kwa bei gani? Vibali vyake vikoje? Weka nyama hii thread
Kwa mawasiliano zaidi :Habari bila picha ni wali bila maharage