Rado anavyowaponda wasanii wa kike wa Bongo Fleva.

Truths

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,494
Reaction score
1,504
Kuna jamaa anaitwa Rado. Kwa majigambo anaonesha ni artist katika sanaa nzima ya Bongo movie.

Mdau huyu nilimsika kwenye tv(sikumbuki tv gani na kipindi gani) akimueleza presenter kua wasanii wa kike wa Bongo fleva hawana sifa za kuolewa. Sababu kuu akiitaja wamekaa kisela sana. Hawana ile hali ya uanamke. Wana udumdume sana.

Akamtaja msanii mmoja anayekwenda kwa jina Giggy Money kua ndiye pekee yake anaye meet qualifications za kuolewa.
 
Ni kweli kabisa Giggy ni wife material
 
Nampaaaaaa.... Nampaaaaaa.... Nampaaaaaaaaaaaa......
Nampaaaaa..... Papaaaaaaaaaaa...........
 
Jamaa kaona mbali sana aisee gigy ndo binti pekee bongo flevan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…