Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Anafundisha Championship , ile ligi ya chini baada ya ligi kuu .benitez anafundisha ligi daraja la ngap?
kabisa kabisa mkuu....Hakika kocha mzuri ni muhimu sana kwenye mafanikio ya timu yoyote ya soka .
Huyu jamaa nimemvulia kofia ! Kiukweli hii timu ina wachezaji watatu tu wenye viwango vya kuridhisha , Goalkeeper wao , kiungo Shelvey na Muafrika mmoja winga aitwaye Atsu , wengine wote ni mizigo mizito .
Lakini kwa mbinu na mipango yake uwanjani timu hii inarudi tena EPL .
huyuhuyu wa liverpool au mwingne?Anafundisha Championship , ile ligi ya chini baada ya ligi kuu .
Jana kanibadilishia matokeo ndani ya dk 10 za mwisho hadi nimeshangaa !kabisa kabisa mkuu....
Asikudanganye mtu , Championship ni ngumu kuliko maelezo .huko anakocheza anakutana na vibonde tu
mkuu unanikumbusha the "night of Instabul 2005" UCL. huyu jamaa wee acha tu!Jana kanibadilishia matokeo ndani ya dk 10 za mwisho hadi nimeshangaa !
Mpaka dk 80 timu kali ya Brighton & Hove ilikuwa mbele kwa Bao 1 , lakini maajabu ya Benitez mpaka dk 90 Newcastle wakawa mbele kwa 2-1 .
Championshipbenitez anafundisha ligi daraja la ngap?
Unakumbuka ni mechi ngapi aliyoisimamia hii timu kabla haijashuka daraja ?Hiyo Newcastle ilishushwa na huyohuyo Benitez
Benitez alichemsha akiwa Inter,akachemsha Napoli,akachemsha Real Madrid nashangaaa unamsifia kisa anaongoza ligi ChampionshipUnakumbuka ni mechi ngapi aliyoisimamia hii timu kabla haijashuka daraja ?