Rafa Benitez: Tactician anayeirudisha timu mbovu ya Newcastle EPL

Hahaha
We jamaa inaonekana hujaifuatilia hii timu. Mbona inawachezaji wazuri wengi sana umewaacha wapi wachezaji kama akina Mitrovic, Ayoze, Diame, Gayle, Colback, Isaac Hayden etc... Ile ni timu nzuri inachemistry nzuri.
Kusema ni timu mbovu yenye wachezaji mizigo unakua hujatenda haki kabisa.
 
Diame ni mzigo mzito sana , mitrovic na Ayoze wanafunga kwa vile Shelvey anapiga mipira hadi 100 kwenye 18 kwa game 1 sasa hata ungekuwa butu kiasi gani ni lazima utafunga tu .
 
Diame ni mzigo mzito sana , mitrovic na Ayoze wanafunga kwa vile Shelvey anapiga mipira hadi 100 kwenye 18 kwa game 1 sasa hata ungekuwa butu kiasi gani ni lazima utafunga tu .

Mapenzi yako yamekua mpaka kuwa mahaba kwa Benitez. Mim ni shabiki wake pia lakini timu iko vzuri kwa maana ya wachezaji na sisi yeye kuwa bonge la tactician. Huyo Shelvey timu ngapi kafeli EPL kbl hajatua Newcastle?? Kama ndio mchezaji mkali kwako,kwangu Atsu wa kawaida. Subiri timu ipande uone EPL atafanya nini. Hapo utaona neno tactician kama linafaa kwake au la..
 
Nataka sana hawa warudi huwa nawapenda kuwaangalia jinsi wanavyojituma uwanjani na hasa wanapocheza na timu kubwa. Wakifanikiwa kurudi itabidi wafanye usajili wa nguvu at least wachezaji watano ili kuhakikisha hawashuki tena.

Mkuu jamaa aliikuta ipo hoi na bado imebakiza mechi chache nafikiri hazikuzidi 10. The team was doomed before him.
Vipi kuhusu Inter,Napoli na Madrid alipochemsha ?
 
Vipi kuhusu Inter,Napoli na Madrid alipochemsha ?
Mkuu angalia historia yake kafundisha timu gani na kapata mafanikio kiasi gani. Hiyo record yake hakuna kocha alieifikia hadi sasa. Angalia post #31
 
Nataka sana hawa warudi huwa nawapenda kuwaangalia jinsi wanavyojituma uwanjani na hasa wanapocheza na timu kubwa. Wakifanikiwa kurudi itabidi wafanye usajili wa nguvu at least wachezaji watano ili kuhakikisha hawashuki tena.
True .
 
Unamaanisha Championship ni ligi nyepesi au Championship ni ligi ngumu? Hebu fafanua vzur manake kama hujaeleweka hivi.
 
Makocha bora wa Ulaya Ferguson,Lippi,Ancelloti,Guardiola,Mourinho,LVG,Rijkaard,Hitzfield hakuna aliyechukua ubingwa wa Uropa
Yaani hiyo comment yako ndio unanithibitishia hao wote hawajapata mafanikio ya kikombe hicho ingawa baadhi yao waliwahi shiriki kikombe hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…