na huyu zizou akija pale camp nou lazima akaribishwe kwa 5 kama mourihno na rafaNilijua japo sukuwahi kulisema Rafael hakuwa na ubavu wa kupambana na Barcelona...hiyo ilikuwa nu ticket yake ya kuondoka
Itafika kipindi makocha wenye heshima zao wataikacha hii timu, toka Del Bosque atimuliwe hakuna stability kabisa
Hahaha...Ondoa mawazo hayo, nani umesikia anakataa pesa ya bure, Benitez hapa ndio winner, amefanyakazi miezi sita anakula mshahara wa miaka miwili na nusu. What a dream job, ndio maana alivyopewa mkataba alikuwa analia kwa furaha watu hawakumwelewa walifikiri anaililia Real Madrid. Pesa ya bure tamu.