Rafah: Wanajeshi 8 wa Israel wauawa katika tukio baya zaidi tokea January!

Hongera na pongezi kwa Allah na Mudi na waislam wote kufanikisha kuwaua IDF wa8. Mnyonge mnyongeni haki yake mpe. Kusema kweli wamejitahid kwa hili.

Big up Allah na mudi never give up
Wewe na wakristo wenzako poleni sana we hujui hi vita wakristo wangapi wameingia uislam? Pole sana kama unadhani mmepunguza idadi ya waislam dini ya Allah kila kukicha inapaa tu nyie kaimbeni nyimbo kanisani tu.
 
Tunakufa na adui zetu ........huo msemo anatoa mtu unaepigana nae unategemea kuna nn kitatokea isreael ? Raia wao 10 tu wakifa nchi nzima inatetemeka
 
Huu ndio uislam au mashetani
Your browser is not able to display this video.
 
Tukiamini hesabu za Israel mateka 240 wamesababisha vfo vya askari 307 na bado mateka hawajapatikana.
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20240616_172039_Gallery.jpg
    617.3 KB · Views: 2
Huwa ninasoma habari zinazo ongelea vita ya HAMAS vs IDF lakini nikishaona hii ...... 👉 . mostly women, children, and elderly – have died since the war began on October 7, Gaza’s health ministry says.
Siendelei tena kusoma.
 
Gaza, Ukraine ni matokeo ya upumbavu wa wenye akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…