Rafiki anamchukua demu wako

dada hajaibiwa,yeye ndio anayejua wapi anafurahia zaidi,alitakiwa amweleze huyo rafiki yako kuwa hana hisia tena juu yake.Rafiki yako anatakiwa afahamu kuwa hana tena girlfriend aendelee mbele na maisha yake.Hata dada akirudi tena kwake asimkubalie.
 
Na yeye amtafute demu wa huyo rafiki yake mnafiki amnyooshe...
 

kumbe tuko wengi..
 
huyo ni msela mavi hafai kuwa rafiki lakini si wa kulaumiwa...mwanamke hutongozwa kila siku awe na bwana asiwe naye kinacho matter ni maamuzi yake.kama anakupenda hatowakubalia kama ni kicheche anafanya kama huyo demu...piga chini wote
 
Kama huyo mwanamke sio mke wa huyo rafiki yako basi huyo mwanamke anaweza kutembea na mwanaume yoyote ampendae.
 
Inauma kupoteza demu wako au kuvunja urafiki?

Je, unataka kuoa au unazugia?


Unampenda saaana huyo demu.

Nadhani kama ndo mwendelezo wao waachie wasonge mbele, hata demu wangu naamini amewahi kuliwa, ila inauma kujua analiwa na fulani.

Pole, tafuta mwingine.
 
Wakikumegea demu wako na we mtafute myonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume
 
mhm...hapo hakuna shida....mwaendelea kumchachua huyo demu alafu siku upo juu ya kifua chake unmwambia...i would love if we have a threesome na yule frend wake.....come and tell me how she reacts
 
Kama yeye aliweza kuzini nae anachoshngaa ni nini wenzake wakizini nae? kula uliwe!
 
He'd better be on to the next girl,on to the next friend..No need of sitting on the same shitty spot hoping it'll miraculously clean up itself.It sucx already no need of reliving a shitty past.
 
ndugu zangu tujifunze kuchukua maamuzi magumu! mtu ameshagundua kama tayari unaibiwa bado unadhani anakupenda huyo? Ngoja uletewe virus sijui pia utakuja hapa jf uulize tena ufanyeje?Achana naye!Jari afya yako nduguyangu,afya haina spea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…