Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Kuna rafiki yangu tunamesoma naye. ameniomba ushauri afanye nini baada ya kugundua kuwa rafiki yake wanaefanya naye kazi anatembea na mpenzi wake. Huyo jamaa anajua kila kitu kuwa huyo ni demu wake na huwa anamwelezea kila kitu kuhusu migogoro yao naye jamaa huwa anampa ushauri mwingi sana. Lakini amekuja kugundua kumbe huyo rafiki yake anatembea na kipenzi chake. sasa akaniuliza afanye nn maana jamaa wanafanya kazi ofsi moja.
Jamani tumsaidieni kijana mwenzetu anachanganyikiwa
Dah hata me nna mshkaji wangu anakamua dem wa mshkaj wake wanayefanya naye kazi kampuni moja ila vituo tofauti. Mi nlishamwambia huyo mshkaji wangu kuwa anachofanya siyo, akaniambia ataacha. Jamaa hajaacha na anaendelea kula mzigo na kum care demu. Ila dem alisema mpenz wake hajui kupenda kama jamaa anavopenda. Nadhani mwanaume ndo atakuwa chanzo