Rafiki anatafutwa

rosita

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
509
Reaction score
469
Hello.

Natafuta marafiki wa kuchat nao na kushauriana maisha.Sichagui jinsia.Sifa awe mtu mzima umri kuanzia miaka 27 hadi 30 ,mwenye hekima na busara,mcha Mungu tutaendana sana na nitawapa kipaumbele.

Mimi nina miaka 25 nimeshamaliza chuo,kwa sasa ninafanya kazi na nina mtoto mmoja.Kuhusu imani I am born again christian.

Nasisitiza nahitaji marafiki sio mchumba na atakaye kuwa tayari aniPM.
 
Umesisitiza kuwa unahtaj marafiki na sio mchumba. Lakini ulisema sifa awe mtu mzima; Sijui ni kwa nini huyo rafiki mtu mzima umri wake uishie miaka 30!!!?
 
Umesisitiza kuwa unahtaj marafiki na sio mchumba. Lakini ulisema sifa awe mtu mzima; Sijui ni kwa nini huyo rafiki mtu mzima umri wake uishie miaka 30!!!?

Naamini wako matured na malengo oriented na kuhusu limit ya umri pia ni muhimu coz nitakuwa huru sana na age mate wenzangu sababu tunapitia same challanges na exposure.
Ahsante
 
Naamini wako matured na malengo oriented na kuhusu limit ya umri pia ni muhimu coz nitakuwa huru sana na age mate wenzangu sababu tunapitia same challanges na exposure.
Ahsante
Vizuri sana. Mimi nimezidi kidogo miaka 30, pia nimemaliza chuo na kwa sasa nafanya kazi ila sina mtoto. Sure! ni vema uchague age mate wenzako coz mnapitia same challenges na exposure. Ahsante na kwaheri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…