Rafiki angu kimeshamlamba uko

Rafiki angu kimeshamlamba uko

Dr criminal

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2022
Posts
2,282
Reaction score
4,316
Habari

November 10 mwaka jana nilileta uzi hapa wakusikitishwa na aina ya mwanamke ambaye rafiki angu ameamua kumfanya kuwa mke wake na mama wa watoto wake (kama ukitaka kuu refer ukienda tu kwenye nyuzi zangu upo juu tu)

Kwanza ifahamike simchukii rafiki angu wala aliyekuwa mke wa rafiki angu, sikuwahi hata siku moja kuwaombea mabaya kwenye ndoa yao japo niliona rafiki angu anaenda kuteseka niliamini watu hubadilika na muda huponya, sikuwahi hata siku moja kuomba hii siku ifike na niliandika ule uzi out of experience tu na aina ile ya wanawake

Kama kawaida week iliyopita nipo kwenye mitikasi yangu inaingia jumbe kutoka kwa huyo rafiki angu "kaka kunguru hafugiki" nikajua tayari kishawaka uko

Nikamuuliza "Shida nini kaka" akajibu "kaka si nimekuta sms zake za kupongezana baada ya kukulana na yule (jina kapuni) mtoto wa baba mdogo"

ifahamike huyu jamaa angu ana moyo sana, hii sio kesi ya kwanza wala ya pili ya mwanamke wake kuliwa ila hili la kuliwa na mtoto wa baba yake mdogo ndio lime mpush to the edge,,maana anasema kesho na kesho kutwa huyu anaweza liwa hata na baba ake mzazi😂

Kesi zilikuwa haziishi na mimi jamaa alikuwa ananipigia mara nyingi sana namsikiliza tu bila kumjaji au kumpa ushauri maana nimeshamsoma kitambo tuu kuwa haitaji ushauri, jamaa alikuwa hanywi pombe ila kaanza kunywa ndani hio miezi mingapi aliyokuwa kwenye ndoa

Kwa bahati nzuri au mbaya ndani ya kipindi cha ndoa yao mwanamke hakuwahi kushika ujauzito kwahiyo hawana mtoto, so kumvumulia kote kule ndani ya ndoa ilikuwa ni out of love tu ni vile jamaa alimpenda sana yule mwanamke, nadhani sasa ameona imetosha

Sms yake moja inasomeka "Kaka naona imetosha sasa, huyu mwanamke naona ananiumiza kichwa tu, mi nikajua kwa kumpa thamani ya ndoa na kumpa ulinzi na Kila hitaji la ndoa atatulia lakini wapi, au unasemaje kaka?"

Mi nikamwambia "Kaka huyo mwanamke wewe ndio unaishi nae na wewe ndio unajua saizi unajiskiaje juu yake, fanya maamuzi sahihi kwa manufaa ya afya yako ya mwili na akili na watoto wako wanaokuja na pia nashauri uongee na mzee wako kuhusu hilo" akajibu "Yani tangu nioe huyu mwanamke mzee ananiona miyeyusho kichizi, kwahiyo hapa hata sijui namwingiaje"😂

Leo kanitumia sms jamaa kwamba it's over between them, sad lakini maisha yataendelea tu

I'm out
 
Wewe ndio wale tunaowaita friji haligandishi
 
FB_IMG_17198955277466704.jpg

Kila kinachomtokea rafiki yako unatuletea hata kabla hujanywa chai lakin yakwako unayaficha
 
Wanaume huwa tuna vifua.
 
Rafiki angu anaenda kulia kilio cha kusaga meno
 
W
Mwenzako ana moyo sana, kakupa siri wewe umtunzie. Hata siku haijaisha tayari watu milioni moja hapa JF wameshajua

Huyu mwamba hana Kifua
Na nna wasiwasi na spika km ziko sawa sio kifua tu
 
Back
Top Bottom