Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
“Mhaya, kwenye maisha yako kamwe usiwaingilie watu wa jinsi tofauti ambao wamewahi kulala kitanda kimoja wakiwa uchi.”
Anamaanisha nini? Usijifanye sana mshauri kwenye doa za watu, usijifanye kupeleka maneno kule ili watu waachane.
Usijifanye kumuwekea dhamana mwanamke ama mwanaume kwamba hawatoweza kufanya mapenzi tena eti kisa wamegombana ama mmoja amesalitiwa. Kamwe usiwaingilie watu waliowahi kulala kitanda kimoja wakiwa uchi wa mnyama.
Iwe walilala mara moja, mara mbili ama mara tatu, kamwe usiwaingilie. Hata wakisema tupe ushauri, wewe waambie tu sina cha kuwashauri.
Kuna wengi walionekana wabaya kisa tu waliwashauri watu waliowahi kulala kitanda kimoja uchi.