Rafiki: Kama roho ingekuwa inanunuliwa, ningenunua roho ya Hamza Mohammed

Rafiki: Kama roho ingekuwa inanunuliwa, ningenunua roho ya Hamza Mohammed

Mwanamume

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
271
Reaction score
216
Akiongea kwa uchungu na masikitiko makubwa rafiki yake huyo kasema Hamza alikuwa mtulivu, mwema , mkarimu na mwenye upendo isiyomithilika.

Akaendelea kwa kusema "Kama roho ingekuwa inanunuliwa, ningenunua roho ya Hamza".

(Tazama clip hii kuanzia dakika ya 6:59 - 7:15 ujiridhishe ).

N

Natabiri mtu mwingine atawafanyia ambush vijana wa Sirro kumuenzi Hamza 😅
 
Mniombee namimi niwe Hamza. Sitowaangusha kama maombi yenu yakifika kwa muumba
 
No kweli kabisa mwamba Hamza alikuwa na roho mzuri Sana,kitendo Cha kuspare maisha ya raia na kudeal na polisi pekee ni ishara tosha. Apumzike kwa amani shujaa Hamza.
hata wale wa westgate walibinya wasio waislam pekee,walispare maisha ya waislam na kudeal na makafili peke yao,kwa waislam viazi mbatata wale ni mashujaa.
ila kwa waislam timamu,wale ni wauaji magaidi.
 
Back
Top Bottom