Sasa dogo mbona unasumbua akili yako, huyo wewe umeisha wachana naye vipi ukae unakereka..au ulijidai mwamba kumbe bado unapenda.
Mimi sijali rafiki yangu akachukue x wangu kama nao, ubaya mimi sina ma X mana sichezi na wajinga :biggrin:
Yote yanawezekana,pengine alikuwa anamtamani tangu ukiwa nae au ulipomuacha wakawa na ukaribu,akaona thamani yake....wanasema ukisema wa nini wenzio wanauliza watampata lini... songa mbele,heshimu maamuzi yao na kubali hali halisi.
Tanzania hatuna mademu ila tuna wasichana/wanawakeHivi Tanzania kuna mademu? Mi naona kuna waganga njaa tu.