Rafiki kipenzi kutembea na X wako-imekaaje hii?

Najaribu kufikiria kuwa si ina maana lazima atafeel insecurity fulani maana kila akiniona anajua kuwa nimeshamrukia mkewe na naweza kuendelea kumrukia anytime.

Isingekua kuogopa magonjwa ningekushauri umvutie kasi tena huyo manzi ukamue gemu afu tuone jamaa yako atareact vipi!
 
Isingekua kuogopa magonjwa ningekushauri umvutie kasi tena huyo manzi ukamue gemu afu tuone jamaa yako atareact vipi!

Umenifurahisha sana mkuu,nitalifanyia kazi wazo lako.
 
Pole sana,
Nahisi mliachana ukiwa bado unampenda,
Jitahidi kuwapotezea tu but huyo rafiki yako naye mmmmhhhh!!!!
 
Pole sana,
Nahisi mliachana ukiwa bado unampenda,
Jitahidi kuwapotezea tu but huyo rafiki yako naye mmmmhhhh!!!!

Hapa tatizo ni mshikaji tu, ingekuwa mtu mwingine mbona rahisi kupotezea, ni mtu ambaye uswahiba wetu hauwezi kufa kwa ajili ya mwanamke, sijui tutakuwa tanatazamana vipi.
 
hahaha :doh: ..yaani nyumba moto umeshika kasi wewe unaongezea petrol...mpe maneno ya kumfariji banaa

Niliwahi soma hii:
I don't feel jelous when I seem my BF with another gal, my mom taught me about leaving my old toys to the less fortunate kids

Achana nao, omba Mungu usigeuke miserable halafu wakawa na couple ya mfano, utajuuuuuta kumuacha!
 
Hapa tatizo ni mshikaji tu, ingekuwa mtu mwingine mbona rahisi kupotezea, ni mtu ambaye uswahiba wetu hauwezi kufa kwa ajili ya mwanamke, sijui tutakuwa tanatazamana vipi.
Dah!asa km mwenzio hilo hakuliona wala kulijali kwann ww uhangaike naye?
Je km mwenzio haon tabu kuuvunja urafiki kwa ajili ya kunogewa utafanyaje?
Kuna jamaa hapo juu kasema ukitaka kumjua mme mwenzio muache mkeo!!!hilo unalionaje?????!

Wapotezee tu nawewe km huji vile maana km ni aibu itawakumba wao na sio ww,
Na ukiona jamaa anakupotezea kiana na ww endelea na mambo yako bana ebo!
 
i think its not an issue coz she is no longer ur girlfriend.aau we inakuuma?acha hizo we una maisha yako
 
Najaribu kufikiria kuwa si ina maana lazima atafeel insecurity fulani maana kila akiniona anajua kuwa nimeshamrukia mkewe na naweza kuendelea kumrukia anytime.

not real
 
Niliwahi soma hii:
I don't feel jelous when I seem my BF with another gal, my mom taught me about leaving my old toys to the less fortunate kids

Achana nao, omba Mungu usigeuke miserable halafu wakawa na couple ya mfano, utajuuuuuta kumuacha!
I real like this, say it again..
 
Huyu mchizi mbona alikua anakusaidia toka enzi hizo bado upo na huyo manzi, haukusanda tuu... Ila fresh tuu, chukulia poa, kwani nini!!
 
X wako ni Y wa mwingine...Muda wako umepita, waachie wenzio!
 
Kwanza urafiki wako na huyo unayemuita rafiki yako ukoje?Maana unaonekana ni wa mashaka mashaka maana haiwezekani rafiki yako awe na mwenza usijue!Au ndio tabia yenu ya kuchakachua kila sehemu kiasi kwamba imechukua muda mrefu wewe kujua kuwa anakula mali zako za zamani?
Hata hivyo kuna ubaya gani kama wewe umeachana na mwenza wako na rafiki yako kaamua kukupokea pale ulipoona wewe huwezi?Usiumie na unachotakiwa kufanya ni kumuweka wazi rafiki yako ili nae afunguke kwako na kama wanapendana si vibaya ukawa best man kwenye ndoa yao au vipi???
 
Jamaa hafai kabisaaaaaaaaaa, kaa mbali naye ataweza mrubuni hata u'r future mke mkikorofishana, urafiki ni kushare kila k2 so maumivu yako yalipaswa kuwa kwake pia, siyo achukulie advantage ya wewe kuachana na girlfriend wako.
 
a true friend wud never do such a thing...uyo rafiki yako ni fake...fake..fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…