Rafiki kipenzi kutembea na X wako-imekaaje hii?

nyuzi nyingine hizi mh
 
Je alikwambia kuhusu mpango wake huo na wewe kumruhusu? Kama siyo, basi huyo si rafiki mwema. Wagombanao ndiyo wapatanao labda baadae urafiki wako na x ungerejea lakini sasa ndo hivyo best wako kasha haribu.
 
Umenifurahisha sana mkuu,nitalifanyia kazi wazo lako.

Kumbe bado unamuhitaji,ukiamua kuacha achia...kwani wewe wa kwanza kwake? Wape uhuru.Ni kweli kwamba lazima jamaa hasikii amani anapokuona kwa sababu wewe ni rival wake hata kama unatudanganya umemuacha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…