Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
1.Chunga usilie chozi mbele yake
2. Akikutoa mtaroni ukiwa hospital atakusahau
3. Ukiwa huna pesa au hupati maendeleo kwake furaha
4. Hata mchumba, mpenzi, mkeo atamla au atamtaka.
5. Majungu atakusema sana
6. Chake chake Chako chenu
7. Ukipata wewe umebahatisha Yeye akipata anastahili.
Ushauri: Jipange jipende jijali ogopa unyonge wa kiuchumi, wekeza wekeza, hakikisha unapesa na unavitega uchumi. Chukua tahadhari Mungu yupo kaa karibu nae moyoni mwako.