Rafiki (Mshkaji) wa kike

Rafiki (Mshkaji) wa kike

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1,160
Reaction score
1,195
Asiwe mwny hasira za kalibu,mi napenda utani.Asiwe mcha Mungu Sana,aje atake niamie dini Yao.Ajzuie kuniomba ushaur,inapotokea kaznguana na boy wke..

Asiwe mjuaji kwny media,story za diamond na alikiba sizitaki.Asiwe Yuko addict na social media,Anaweza kuwa instagramu ILA rol mode wke wasiwe Wema Sepetu Mange na Le Mutuz

Atlist awe agemate wangu,awe Da Slum.Wivu wa mapenzi tumuachie Jux na V.Money.

Km yupo,aniPM namba yke..
 
Hehehehe

mbona kama unatafuta mke sasa
 
Awe agemate wako ila hujataja umri wako
 
Sema natafuta dem' rafki wa kike/mshkaji ni sawa na kufuga kuku wa maonyesho nn kitampata baadae staki kuelezea!!
 
Back
Top Bottom