Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
HeheheheAsiwe mwny hasira za kalibu,mi napenda utani.Asiwe mcha Mungu Sana,aje atake niamie dini Yao.Ajzuie kuniomba ushaur,inapotokea kaznguana na boy wke..
Asiwe mjuaji kwny media,story za diamond na alikiba sizitaki.Asiwe Yuko addict na social media,Anaweza kuwa instagramu ILA rol mode wke wasiwe Wema Sepetu Mange na Le Mutuz
Atlist awe agemate wangu,awe Da Slum.Wivu wa mapenzi tumuachie Jux na V.Money.
Km yupo,aniPM namba yke..
Amna sio mke,Kuna sehem nimeandka akznguana na boi wke,asinifanye Mie kuwa msuluhish wao (Sipendagi ujinga Mie)Hehehehe
mbona kama unatafuta mke sasa
Hiv kumbe skuandika aje yng.Taedit no worry!!Awe agemate wako ila hujataja umri wako
Nataka wapya,WA mtaani nimewazoeaKwani huko kwenu hakuna wanawake?
Ninamke,sihitaj MchepukoHahaha mbona kama unataka kuwa mchemko(mchepuko) wa mtu.