sasa mbona unaaonyesha ujmbe umeuandika kwa haraka haraka? au ndio hujiamini mamaa?
tulia andika kwa kituo jieleze wewe ni nani (angalau kwa kifupi), elezea sifa za unayemtafuta
kisha subiri majibu. lakini kwa jinsi ulivyoandika ni sawa na kutupa nyavu ya matundu madogo
baharini hivyo unaweza nasa dagaa, sato, changu, papa na hata nyangumi.
"ni vema but weka sifa zako zote na unaishi wapi,elimu yako, unajishughulisha na nini na una mtaka mwanaume awe na sifa gani?itapendeza ukifanya hivyo,nakusubiri"