Rafiki/Mwenza wa maisha ( mwanamke )

StBico

Member
Joined
May 17, 2015
Posts
15
Reaction score
2
Habari wana JF, natafuta Rafiki wa kike, ambaye tunaweza kujenga family hapo baadae.
Sifa;
Awe mcha Mungu, akiwa Mkristo itapendeza.
Awe na uelewa wa maisha na kujua nn anapaswa kufanya
Elimu kuanzia Darasa la saba
Awe ana jiheshimu na kuheshimu wengine
Mkweli na muwazi
Asiwe Muoga
Awe Huru mwenye maamuzi
Umri kuanzia miaka 23 hadi 27


Sifa zangu;
Mcha Mungu - Dini, Mkristo Mkatoliki.
Mchapa kazi
Elimu yangu n Bachelor degree
Kazi - bado najitolea taasisi binafsi
Mkweli na muwazi
Najiheshimu na heshimu wengine pia
Kujali ndio hulka yangu
Upendo asili yangu
Age 28

NB: njoo DM Kama kweli upo serious, nahitaji kwa nia ya dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo sa
Hapo sasa pa ukweli na uwazi ndo shida sana siku hizi bro.
 
Hili jukwaa JF waliliweka wakitegemea watu watapata marafiki na wachumba humu, ila naonaga mtu akitangaza nia humu hua inachukuliwa kimasihara, sina uhakika kama kuna waliofanikiwa humu, au hua wakipata hatupewi mrejesho ndo maana
 
Nonsense, kanisani unaenda kutafuta wasichana au kusali, msichana au mchumba unaweza kumpata mahali popote na kila mahali Kuna heshima na taratibu zake. We Kama mada haikuhusu kaa kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jukwaa JF waliliweka wakitegemea watu watapata marafiki na wachumba humu, ila naonaga mtu akitangaza nia humu hua inachukuliwa kimasihara, sina uhakika kama kuna waliofanikiwa humu, au hua wakipata hatupewi mrejesho ndo maana
Kweli watu wanachukulia masihara hata Kama mtu anadhamira ya dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…