Rafiki serious wa kike, aliyepo jiji la dhabibu Dodoma

Rafiki serious wa kike, aliyepo jiji la dhabibu Dodoma

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Naitwa NALIA NGWENA

Jinsia: me
Miaka yangu: kijana

Kazi: dalali/unga unga mwana/harakati za hapa na pale/kubeti ndiyo kazi zinazoniweka mjini.

NB: nahitaji mdada serious aje akonge moyo wangu/anipunguzie stress za jua Kali na mapambano ya kila siku katika utafutaji wa mkate wa kila siku.

Karibu PM wewe dada uliyekubali kuwa na NALIA NGWENA kwa hali na Mali/iwe mvua iwe jua/iwe mabonde/iwe tambalale[emoji41]
 
Back
Top Bottom