NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nitume nauli?[emoji7]Dhabibu? [emoji2957] kila lakheri mkuu Ngwena, ningekua jiji la dhabibu ningekuja ila huku Sumbawanga hadi nifike jiji la dhabibu ni week nzima.
Hapana mkuu endelea kutafuta waliokaribu, fimbo ya mbali siyoNitume nauli?[emoji7]
Ngoja niendelee kusubiri [emoji41]Hapana mkuu endelea kutafuta waliokaribu, fimbo ya mbali siyo
so wewe ni nyoka 😂 ?Hapana mkuu endelea kutafuta waliokaribu, fimbo ya mbali siyo
😀😀 inawezekana ujueso wewe ni nyoka 😂 ?
Hivi wewe dada upo wapi?Hapana mkuu endelea kutafuta waliokaribu, fimbo ya mbali siyo
Nipo Sumbawanga mkuu, habari ya huko kwa Makalla?Hivi wewe dada upo wapi?
Au upo hapa hapa kwa Makala?
Njoo DM nina ujumbe wako murua
Afu nitafute nina ujumbe wako ujueDhabibu? [emoji2957] kila lakheri mkuu Ngwena, ningekua jiji la dhabibu ningekuja ila huku Sumbawanga hadi nifike jiji la dhabibu ni week nzima.
Hahaha dhabihu! Kumbe dhabibu, ndio Yale matunda madogo yanayotoa utamu?Dhabibu? 🤪 kila lakheri mkuu Ngwena, ningekua jiji la dhabibu ningekuja ila huku Sumbawanga hadi nifike jiji la dhabibu ni week nzima.
Oohh kumbe!Nipo Sumbawanga mkuu, habari ya huko kwa Makalla?
Hawataki kabisa yaani [emoji16]oya tajiri huyu hapa wanawake changamkeni[emoji3]
Akili nyingi sana mkuu[emoji123][emoji91]Nyuma ya pazia kwa Mleta mada anahitaji Mke Mwema, ndiyomaana hajataja kazi yake halisi akiamini atapatikana Ke atayempenda yeye kama yeye au wala si Ke masilahi.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji7][emoji1926][emoji8]
Mimi nipo nafukuzia totoz nyinyi mnakuja kupangana kwenye uzi wangu wakati Mimi bado sijapata [emoji16]Afu nitafute nina ujumbe wako ujue