Huu unaitwa ubakaji!Kichwa kipo sahihi nadhani.
Vigezo. Umri 18-22.
Shape; normal size not over size.
Urefu; not more than futi 6
Dini: yoyote ila sio ya kuamini mizimu
Kabila; lolote hata akitokea mzungu poa tu.
Kazi: not matter
Asiwe muongeaji sana.
Ukiwa arusha itakuwa bora zaid maana haitatuchukua mda sana kuonana live kuongea mengi zaidi.
N pm tu mda wowote
Msichana wa miaka 18 mpaka 22 huyo bado mdogo sana!Mkuu kwanini tena