Halafu wabongo kwa kuotea otea tu,
Mtu hamumjui tayari mshambambikia issue ya makaratasi. Mi najua wabongo ambao wana mademu/mabwana Wamarekani bila ya kuwa na shida ya makaratasi.
Tuacheni hizi za kufanyana kama kila mtu ana shida ya makaratasi, wengine kuchukua makaratasi ni kashfa kwa principles zao na sense zao za patriotism.
Mchizi wangu mmoja karudi bongo juzi, kawarudishia green card yao.Kwa hiyo tusifanyane kwamba kila mtu yuko desperate na makaratasi kabla hata ya kujua issues za hii case.Kama wewe una shida ya makaratasi si kila mtu ana shida hiyo.Wengine magamba yao ya bongo meusi, Marekani watayapata wapi hayo?