Rafiki wa kike Aliyeko mikoa ya Arusha & Kilimanjaro fasta ni PM

Rafiki wa kike Aliyeko mikoa ya Arusha & Kilimanjaro fasta ni PM

TheSpam

Senior Member
Joined
Aug 15, 2019
Posts
180
Reaction score
258
Kama nilivyojieleza, wasichana mlioko mikoa hiyo tajwa hapo mpate bahati gani tena ingine!? mtapata kukutana na mimi Live
Masharti Kuzingatiwa
- Ni Inbox
- Uwe smart na charismatic
- Kichwani uwe vizuri
- Muhimu usiwe mshamba utakuwa mzigo kwangu.
- Sina ushabiki wa siasa lakini usiwe ni mfuasi au na mrengo wa hiki chama cha kijani.

MENGI TUONGEE INBOBOO! NI PM MWENYE BAHATI ANAWEZA KUPATA KUBADILI MAISHA YAKE NA KUWA NA MIMI.
 
Back
Top Bottom