Rafiki wa kike anahitajika (20-22yrs)

Rafiki wa kike anahitajika (20-22yrs)

kanchibay

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
671
Reaction score
690
Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamvi, naimani mwaendelea salama kabisa na majukum yenu ya kulijenga taifa hili la Tanzania ili lifikie uchumi wa kati kufikia mwaka 2020-2025.

Nisiwe na mambo mengi, lengo langu bna nikutafta rafiki wa kike mwenye kuanzia umri kama ilivyo ainishwa hapo juu, urafiki hauna kikomo kwa kigezo cha mkoa au kabira maana sisi watanzania ni jamii moja.
Karibu pm
 
Back
Top Bottom