Natafuta rafiki wa kike popote pale. Asizidi miaka 28. Mkristo mwenye hofu ya MUNGU. Awe aghalau na diploma au zaidi. Awe mwembamba, asiwe mfupi. Mbunifu na mwenye mtizamo chanya wa kimaisha.
Umri wangu ni miaka 30.
Ni mkristo. Ni mrefu rangi yangu maji ya kunde.
Ni pm mengine tutafahamiana
=============!!!======
Bado sijampata mwenye sifa na vigezo