Rafiki wa Kike Anatafutwa

Rafiki wa Kike Anatafutwa

Rafiki tu ama kuna kingne zaid umetazamia mbali na huo urafiki? Maana naona hio graduate umeisisitiza sana had ukaiandika ×2

Ngoja waje
 
Ni mgeni Kigamboni natokea mkoani nimepata kibarua huku Kigamboni nahitaji rafiki wa kike ,binafsi ni professional engineer, umri wangu ni 30yrs

Sifa zake
-----------------
Awe graduate ,
Awe anapatikana Kigamboni,
Single mother au hajazaa it's okay,
Dini yoyote !

Umri
---------

22 yrs upto 30yrs
Utahangaika mpaka ukutane na vibwengo
 
Mkuu au nikuunganishie kwa x wangu??
Ila anamajini...🤣
 
Back
Top Bottom