Rafiki wa kike au mke mtarajiwa

Ontama

Senior Member
Joined
Jul 24, 2019
Posts
136
Reaction score
96
Jamani naitaji Rafiki awe na chura mwenye Tabasamu,miaka kuanzia 25_30 Kama upotayari njoo tuanze Safari ya ndoa
 
karibu mkuu, kila la kheri katika safari ya kumtafuta mama watoto.
 
Sio kweli.. Kwao ndio lafudhi yao halafu anatafuta mke sio mwalimu wa lugha [emoji124][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
Umeshashiba zile nyama choma zako tayari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…