Rafiki wa kike au wa kiume?

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
438
Reaction score
67
Wana JF hebu nifahamisheni. Mimi nina rafiki yangu wa kike ambaye urafiki wetu ni katika kazi, kushaurianan kusaidiana kwa ukaribu sana, lakini sio mpenzi wangu. Jamaa yangu anakataa ati haiwezekani na analazimisha kuwa huyo ni mpenzi wangu. Kwani wana jf hiyp haiwezekani? kuwa na urafiki wa karibu na mwanamke au mwanaume bila kufanya mapenzi haiwezekani? Nawasilisha.
 

Mbona we umeweza?
 

Sioni tatizo kama nyote mkitambua mipaka yenu na mkiwa wazi toka mwanzo
 
wakati mwingine mtu unakuwa kama kichaa vile, duuuuuuuuuuuuh!
 
inawezekana sana..kwanza sio lazima aamin na haimuhusu, for as long as nyie mwajua wat is between you
 
mbona ni kawaida sana cause ikiwa kila rafiki wa jinsia tofauti na ww mna uhusiano wa mpnz, utakuwa na wapenzi wangapi??
 
jamani me natafuta dem mzuuri kama yupo nichek facebook kwa name ally nguyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…