Rafiki wa kike (girlfriend )

Rafiki wa kike (girlfriend )

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
mimi ni kijana wa Kitanzania,
natafuta binti mwenye kujieshimu ikiwezekana awe MWALIMU.
Umri - miaka 20 - 24,
Toka: popote pale ulimwenguni,
Rangi: Maji ya kunde au Mweusi,
Dini: Mkristo
Sifa nyingine,Ajue kupika, ajiheshimu, awe msafi, mwenye msimamo na viwango.

PM kwa aliye na sifa hizo.
 
Back
Top Bottom