Rafiki wa kike jitokeze utojuta kujuana na mimi

Rafiki wa kike jitokeze utojuta kujuana na mimi

baraka bb

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
2,691
Reaction score
3,884
Habar zenu wadau,,
Mim sio muandishi mzuri sana ila nimekuja hapa natafuta rafiki wa kike,,,
mimi age yangu 28yrs mbishe zangu nafanyia dar es salaam nmeajiriwa kibishi,,

rafiki age yoyote ile ila awe anaishi Dar, elimi na dini me sijari hata kama mpagani hyo ni dini yako,,, uwe mcheshi sina gari wala nyumba nimepanga ila nna kiwanja uko goba ,,
nakukaribisha DM ,, [emoji7]

wako katika ujenzi wa Taifa
Baraka bb
 
Back
Top Bottom