RAFIKI WA KIKE kwanza mengine baadae

RAFIKI WA KIKE kwanza mengine baadae

Alzadawi

Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
73
Reaction score
18
Nahitaji kuanzisha uhusiano wa kirafiki na mwanamke muislam umri usizidi 35 yrs,wagumba watapewa kipaumbele maana jamii inawaonea. Mengine negotiable, mawasilaiano ni kwa PM tu, na zote zitajibiwa. Week end njema.
 
Wewe mbona hujafunguka kuhusu wasifu wako? Je una umri gani? Umeoa au bado? Je na wewe ni tasa (mgumba)? Nauliza hivi kwa sababu na mimi natafuta sana mwanaume tasa maana jamii inawaonea.
 
Mimi nina 27yrs natafta msichana awe girlfrnd wangu.Sibagui dini wala kabila wala rangi.Mimi ni mrefu wa wastan,rangi yangu mweusi,Alie tayar ani PM au anichek kwenye email hsudi2012@yahoo.com
 
Nahitaji kuanzisha uhusiano wa kirafiki na mwanamke muislam umri usizidi 35 yrs,wagumba watapewa kipaumbele maana jamii inawaonea. Mengine negotiable, mawasilaiano ni kwa PM tu, na zote zitajibiwa. Week end njema.

Duuuh....kama naona no string attached! All za best.
 
Nahitaji kuanzisha uhusiano wa kirafiki na mwanamke muislam umri usizidi 35 yrs,wagumba watapewa kipaumbele maana jamii inawaonea. Mengine negotiable, mawasilaiano ni kwa PM tu, na zote zitajibiwa. Week end njema.
Jamani someni bandiko -PM tu
 
Wewe mbona hujafunguka kuhusu wasifu wako? Je una umri gani? Umeoa au bado? Je na wewe ni tasa (mgumba)? Nauliza hivi kwa sababu na mimi natafuta sana mwanaume tasa maana jamii inawaonea.
daaaaaaah hapo sasa kazi.................mkuu funguka upate mtoto huyo
 
Back
Top Bottom