Rafiki wa kike mwenye maadili

Rafiki wa kike mwenye maadili

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
Natafuta rafiki wa kike anayetaka kuanzisha mahusiano mapya.nipo morogoro.umri miaka 25 mpaka 30.anaweza kuwa na mtoto lakini awe mcha mungu.mvumilivu na mwenye kazi serikalini.awe moro au dar.lengo ni kuishi naye kinyumba.mungu akitupa uhai ndoa baadaye sana.awe msomi.email hiltonjns@gmail.com..uwe muwazi pia katika maellezo yako
 
Kuishi nae kinyumba.. Subir watakuja
 
wema mali unazomiliki na account inasoma vipi pamoja na cheti chako cha angaza sio unatoa tu masharti magumu wakati na wewe hatujui immunestatus na immunieconomy+immuni ATM yako
 
Back
Top Bottom