AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Mimi ni kijana 36 years.
Nimeajiriwa.... Somewhere (utajua baadae)
Mkristo
Maji ya kunde
173cm. 82kg. Mtu wa Mara.
Niko Dar.
ANAYEHITAJIKA:
Age 24-29 au hata 30 sio mbaya.
Dini mmh sio ishu Sana maana zote zimekuja na WAKOLONI. Ila kama ni Islam uwe tayari kunitetea kwa wazazi Wako wakiamua kukususa.... Sio tunafika mwisho then unashindwa kusimama Nami... (Lishanitokea).
Najua 99% mnapenda kununa but plzzz jitahidi usiwe mengi. Ujifunze kusamehe na maisha yakaendelea.
Urefu naomba usinizidi[emoji23][emoji1787]
USIWE mnene Sana... No offence lakini.
Rangi haina shida mweupe/maji ya kunde/mweusi haina shida.
Uwe tayari kuachana na ma X Wako maana mnakuwaga na shida hiyo Sana. Usije geuka Jiwe la chumvi.
Ila KIBURI NA JEURI hapo hatutawezana.
Karibuni. [emoji183] Contact: livermersey@gmail.com