Rafiki wa Kike Umri Miaka 30 - 40

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
44
Nahitaji rafiki wa kike mwenye umri kuanzia miaka 30 - 40. Sifa yake awe mwaminifu, awe anaishi Dar. Ambaye yuko tayari anipm kwa ajili ya kufahamiana zaidi.
 
Mhm! Hii kali zaidi
nahitaji rafiki wa kike mwenye umri kuanzia miaka 30 - 40. Sifa yake awe mwaminifu, awe anaishi dar. Ambaye yuko tayari anipm kwa ajili ya kufahamiana zaidi.
 
nami nilikua nahitaji mtu wa kunilipia kodi ya nyumba..oooh asante maombi yangu yamejibiwa!!!!!
 
Nahitaji rafiki wa kike mwenye umri kuanzia miaka 30 - 40. Sifa yake awe mwaminifu, awe anaishi Dar. Ambaye yuko tayari anipm kwa ajili ya kufahamiana zaidi.

unahitaj rafiki wa kike mwaminifu.
wewe ni mwaminifu??
 
Oh my goodness.....no comments
nimeipenda tu hiyo ya kulipiwa kodi ya nyumba usd 3000.
Natamani siku moja mwanamme naye asaidiwe ......kwani Wenye hela ni wanaume tuuuuu....
mbona wapo wadada wako vizuri tu.....na Hawana tamaa ya kuchangiwa....
Nivizuri wadada wabadilishe mtazamo Kuwa maisha ya sasa ni two way traffic na kimsingi sioni haja ya kuweka formula...
 
Mmh'humu tuna majina ya bandia usije Kuwa kidume!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kaka kwa nini utafute wazee mitandaoni hapo Tabata umekosa? pia wewe una mika ya kuustafu nini unatafuta wa kukuchuna kiinua mgongo? Au unataka kutunzwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…