Thank you for your adviceGood news indeed! Relax! Go YouTube search "how to speak American English" learn as much as you can. No need for girls!
Mwisho wasiku utataka kuwatia tu watoto wa watu na kuacha mimba zisizo na mpango!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisha urafiki na Nyani NgabuHabari,refer to the heading
Miezi ijayo nimepanga kwenda marekani kwa ajiri ya masomo,napenda kujifunza kiingereza cha kuongea haswa American English, ili kupata uzoefu natafuta rafiki wa kike kwa ajiri ya kuongea ,kuliwazana,kupiga story na kushauriana,
Lengo:kupata experience
Kama nikitoboa kimaisha ,I will not forget you
Girls, you are mostly welcome
Sent using Jamii Forums mobile app