Rafiki wa kike

Joined
Jul 26, 2012
Posts
51
Reaction score
6
Nahitaji rafiki wa kike kutoka pande za kaskazini, kati, kanda ya ziwa mwa Tz, awe mwajiliwa serkalin/mashirika binafsi, umri chin ya miaka 23 kwa mawasiliano zaidi 0769396328 message zote zitajibiwa. mchana mwema.
 
huna majirani? Unaishi polini? Jishughurishe na hao hao wa mtaani kwenu ili usije pata matapeli umenisoma?
 
fredmaty Zach;; Ni nini kimekusibu?????? Ama umechafukwa na moyo nini????? Bila shaka utawapata lakini kutakuwepo na maswali mingi ya hapa na pale sana!!!!!

Nahitaji rafiki wa kike kutoka pande za kaskazini, kati, kanda ya ziwa mwa Tz, awe mwajiliwa serkalin/mashirika binafsi, umri chin ya miaka 23 kwa mawasiliano zaidi 0769396328 message zote zitajibiwa. mchana mwema.
 
Last edited by a moderator:
Unafanya kazi gani na unatokea kanda gani wewe!!!!
 
Na mie natafuta rafiki wa kalamu jamani. Nna p.o box inatagiwa na mende tu nalipa kodi bure.
 
Kila la kheri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…