Rafiki wa kiume wa holiday...

Smile mi nna miaka minne naomba tushare bed na ndoto.
 
Last edited by a moderator:
mimi sikualifai hata kimoja,xo xafwarii njema huko msituni!!!!😛hoto:
 
huyu jamaa mnyonya damu nini! mimi sijamuelewa na wala sidhani kama nitammuelewa...au jambazi nini? kwa nini unatafuta mtu hata humjui ishu zake na maisha yake yakoje unataka tu uende naye maporini huko...mh, atakuwa salama kweli? sijawahi kuona ishu kama hii ya kwako...kwani huna ndugu zako wa karibu au marafiki zako wa karibu ukapanga nao mkaenda mpaka uje hapa kutaka stranger? hujaonaga nini! au unatafuta hoja hoja tu hapa jf?na umaarufu? mi naogopa jamani, pia nawashauri wanajf, muwe makini na huyu jamaa...sina imani naye!
 
nahisi pia kutakuwa na harufu ya u-gay au ulesbian!!!
 
5..hii vacation itakuwa cost sharing so awe na balance
6.... miaka 32 hadi 41 aje na birth certificate

Kigezo namba 5 niko njema sana, namba 6 nimefeli, cheti kinaonesha niko below the range!
All the best, utuwekee picha tu za vacation ukitoka huko!

 
hujalazimishwa kuchangia....kila mtu ana akili zake na life style zake.. sio lazima kukubaliana na mimi....siku njema.sidhani kama ushauri wako unaitajika hapa..
besides unapoongelea stranger ... kila mtu anaweza kuwa stranger hata mama yako mzazi .. watu wanaumizwa na wale waliowajua na kuwafahamu....kama wangekuwa sio mastrange watu wasingefanyiana ubaya mkuu... kila mtu ni stranger hakuna anaemjua mwenzake duniani humu..
 
una lako jambo wewe!
 

Almanusura niku-PM
 
Nafuzu vigezo vyote!! Twende Marangu falls, then 2 days trip Ngorongoro, ninapenda sana kusikiliza sauti za Ndege msituni, safari lini? Au wataka twende wapi?
 

Mimi smile ningepigania kwa dhati nipate nafasi hii kwa ku meet vigezo vyote. tatizo kubwa linalonisumbua,nikicheki location ulipo Paradise,halafu holiday unataka kuspend msituni, roho imesita kidogo
 
inabidi hii tenda nikusaidie kushindanisha waombaji ili umpate mtu mwenye vigezo vinavyostahili na kupitiliza .
 
lol...ungeweka na kigezo cha uhendsam bana!

Kwa nini Rejao,au kigezo hiko ndio unaamini kitakupa ushindi wa kishindo kupata nafasi hii kama wa Chadema 2015..tehe tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…