Rafiki wa kiume wa holiday...


mmmh smile vigezo vyote hivyo nani atafit sasa!!! Punguza kidogo baadhi nijitose...
 
Umeona Ndahani eh?

hata Beyonce hawezi kuleta haya ya mje na birth certificate...

jf is never boring

The Boss, iko maneno mkuu...ntaanzaje kutoka nyumbani na hiyo certificate nikaionyeshe wakati wa ku date? Yaani inataka moyo aisee
 
ujue The Boss kuna mtu nilishakutana nae humu aliniambia hana miaka 33 alivokuja kama ana miaka 100 sijui....

Haaaahaaa! Did you read between the lines all his messages? You could identify his actual age kabla ya kwenda kumuona
 
yaani wewe ndio sio graetthinker kwani nilikuwa najaribu tu kukutest akili yako na nimegundua kuwa huna staha, na hujui kudeal na watu wanaokuboa hata kwa dakika 1! pole sana maana naona huna hata hekima kidogo ya kuweza kufukiri kabla hujasema...haya ningeingia kichwa kichwa si ingekula kwangu?! binadamu ni kuvimiliana mkubwa!unapayuka utafikiri nini ndugu yangu! umeshindwa interview ndogo tu...nina sifa zote sema tu umenitibua...
hii ni jf kama wewe sio great thinker ni ngumu kuishi huku .. naona upo na low mind subiri ukue byeee
 
kumbe unakutana na watu humu?
nilifikiri hutaki ku date humu?
hakuwa wa kudate aliniomba tukapate lunch nikaona vile kijana mwenzangu ngoja niende naweza kupata hata new idea...kumbe loh ! acha tu!
 
umetumwa au?
 
ni nina cheti cha darasa la saba kinaonyesha mwaka nilio maliza shule!!!kita qualify?
 
Cheti cha kuzaliwa porini cha nini mamii... Kila la heri mwaya, na vacation njema. Labda ungejaribu kwenda mwenyewe manake anaweza akaja mtu na mastori yake akifikiri anakuchangamsha kumbe anazidi kukuboa tu.
 
hakuwa wa kudate aliniomba tukapate lunch nikaona vile kijana mwenzangu ngoja niende naweza kupata hata new idea...kumbe loh ! acha tu!

ukirudi vacation nitafute for lunch
 
kama kipi@rogi


namba 1 mimi sio muongeaji kivile...
namba 3 umesema ni cost sharing kwenye gharama sasa tena upewe pesa za nini na wkt gharama tunatumia kwa mahitaji ya vekesheni tu.
namba 6 umri huo umeniacha nyuma jaman
 

hapo tuu nitafail may be uondoe hicho kigezo
Mhhh sis huwa sikuelewi elewi maana interest zako ni balaa
Sasa wiki mbili halafu tutakuwa tunalala mzungu wa reli au vyumba tofauti au ni huko huko msituni
 
hapo tuu nitafail may be uondoe hicho kigezo
Mhhh sis huwa sikuelewi elewi maana interest zako ni balaa
Sasa wiki mbili halafu tutakuwa tunalala mzungu wa reli au vyumba tofauti au ni huko huko msituni
tutalala wote kwani sisi ni couple bwana ...just friends mida ya kulala kila mtu na chumba chake au!
 
Hata kama ameoa au kuolewa?
 
tutalala wote kwani sisi ni couple bwana ...just friends mida ya kulala kila mtu na chumba chake au!

Mhhh kulala wote wakati si couple ni balaa naweza tenda dhambi bure
nahitaji na mimi nipate liwazo na mimi sasa hiyo ni mojawapo ya kitulizo aise
Ngoja nifikirie namna ya kukiruka hicho kikwazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…