Rafiki wa kiume wa holiday...

cheti yangu iko bomani lakin xwafa nimeipenda kwani wewe miaka mingap
 
natamani kujiunga kwenye hiyo tour yako...ila cjui vigezo na mashart. Smile
 
Last edited by a moderator:

kwenye hizo Bold....wewe picha zako zinapatikana wapi?....
 
Wakati wenu huu!! hata marafiki sasa ni wa kuapply! tena na vigezo halafu fasta fasta, hii kweli dot.com.
 
mosi, ungeongeza ndondoo kuwa unapenda kwenda wapi hasa. pili, wa kukusaidia kurefresh mind umemtaja hapo no 4. usimkimbie wala huna haja ya kwenda msituni.
 
nimesema tuwasiliane ili tuarrange pamoja mkuu kuweni waelewa basi jamani?
 
Duh, smile hivi kwanini sredi zako huw haziko straight forward? Anyway,niko interested kujua kama utampata mwanaume anayefit hivi vigezo, loh!
 
Mie niko ndani kwa vigezo vyote, ngoja niangalie timetable yangu kama itafaa.

Napenda nature, lakini napenda zaidi kutazama anga iwe mchana au usiku, kuangalia bahari, milima, mabonde, mawe, maporomoko, mapango naweza tizama kiasi wanyama na mimea.
 
usjali mito .hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
Mie niko ndani kwa vigezo vyote, ngoja niangalie timetable yangu kama itafaa.

Napenda nature, lakini napenda zaidi kutazama anga iwe mchana au usiku, kuangalia bahari, milima, mabonde, mawe, maporomoko, mapango naweza tizama kiasi wanyama na mimea.
poa waiting..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…